pmbet

"Uhispania itashinda fainali ya Kombe la Dunia"-Joan Laporta.

Joyce Shedrack

July 17, 2026
Share :

Rais wa FC Barcelona Joan Laporta ameonyesha imani kubwa kuwa Uhispania itaibuka bingwa wa Kombe la Dunia katika fainali dhidi ya Argentina.

Joan Laporta: 'If we meet the budget, the darkest era in FC Barcelona  history will be over'

Akizungumza kuelekea mchezo huo mkubwa, Laporta amesema kuwa Uhispania ina kikosi bora zaidi kuliko wapinzani wao.

 

“Uhispania itashinda fainali ya Kombe la Dunia. Tuna timu bora zaidi,”

 

“Ikiwa mwamuzi atasimamia mchezo ipasavyo na kudhibiti kila jambo uwanjani, basi Uhispania ina nafasi kubwa zaidi ya kushinda. Mwamuzi lazima asimamie mchezo kwa umakini,”

 

"Messi ni historia na pia ni sehemu ya sasa Lamine ni wa sasa na wa baadaye Tunajivunia La Masia na Barcelona kwa kuendelea kuzalisha vipaji vya kipekee," amesema Laporta.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet