pmbet

Uhispania vs Cape Verde zinakutana kwa mara ya kwanza leo.

Joyce Shedrack

June 15, 2026
Share :

Timu ya Taifa ya Uhispania na Cabo Verde (Cape Verde) hazijawahi kukutana katika mechi yoyote ya soka hivyo siku ya leo watandika historia ya kukutana kwa mara ya kwanza.

Spain vs Cape Verde at World Cup 2026: TV channel, how to watch, kick-off  time, live stream, referee, predicted line-ups - ESPN

Mechi yao ya kwanza kabisa ya kihistoria inachezwa leo, Jumatatu, Juni 15, 2026, katika hatua ya makundi (Kundi H) ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kwenye uwanja wa Mercedes-Benz uliopo Atlanta, Marekani majira ya saa 1 jioni.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet