Uingereza yatinga nusu fainali ya nne kombe la dunia
Sisti Herman
July 12, 2026
Share :

Baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Norway golui 2-1, timu ya taifa ya Uingereza imefika nusu fainali ya Kombe la Dunia la wanaume kwa mara ya nne tu katika historia yake.
Hii ni miaka ambayo Unigereza iliweza kufika nusu fainali;
◉ 1-0 Argentina (1966)
◉ 3-2 Cameroon (1990)
◉ 2-0 Sweden (2018)
◉ 2-1 Norway (2026)
Magoli mawili ya Jude Bellingham yameifikisha hatua muhimu 'Three Lions' Je watatoboa hadi fainali?





