pmbet

Ujue uwezo wa Drone hii ya kivita yenye kilo 3

Eric Buyanza

January 8, 2024
Share :

Drone hizi ni katika toleo la ndege zisizo na rubani za Kamikaz, zina uzani wa kilo 3 tu na uwezo wa kubeba kombora moja.
 

Kulingana na mtengenezaji, hutumiwa zaidi katika maeneo askari wasiyoweza kuona. Inamaanisha zinaweza kuruka katika maeneo ya adui ambayo askari anayefanya kazi chini hawezi kuona.
 

Ndege hiyo isiyo na rubani ina uwezo wa kubaki hewani kwa hadi dakika 30 na kuwapa wanajeshi ufahamu wa hali ya mambo hadi kilomita 1.5.

Inakusanya taarifa na kuonyesha shabaha kwa amri ya askari ambaye anaidhibiti kwa kompyuta. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet