pmbet

Ujumbe wa dini wamponza nahodha wa Crystal Palace.

Joyce Shedrack

December 3, 2024
Share :

Beki wa Timu ya Taifa ya Uingereza na klabu ya Crystal Palace Marc Guehi huwenda akakumbana na adhabu kutoka Chama cha soka Uingereza (FA) baada ya kuandika ma neno “Nampenda Yesu” kwenye kitambaa cha unahodha ambacho kina rangi za kupigia kampeni Ushoga na Usagaji (Mapenzi ya Jinsia moja).

Kwa mujibu wa  Shirikisho la Soka la Uingereza FA Mchezaji haruhusiwi kuandika maneno ya Kidini wala siasa bali kitambaa hicho cha Unahodha kinapaswa kubaki na rangi zinazoashiria kuunga mkono sera ya Mapenzi ya Jinsia moja pekee.

 

Mchezaji huyo aliandika maneno hayo kwenye kitambaa cha Unahodha siku ya jumamosi klabu yake iliposhuka dimbani dhidi ya Newcastle na mchezo huo kutamatika kwa sare ya 1-1. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet