pmbet

Ukichlewa kuripoti shule, Utalima matuta 10 ya viazi!

Eric Buyanza

January 9, 2024
Share :

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema wanafunzi watakaochelewa kuripoti kidato cha kwanza watapata adhabu ya kulima matuta 10 ya viazi na kuwataka wazazi mkoani Dodoma kuhakikisha watoto wanaripoti shule na kuanza masomo kwa wakati.

Akizungumza na wananchi wa Michese, Senyamule alisema......

“Wazazi msiwasababishie watoto adhabu ya kulima matuta 10, kwa sababu ya kuchelewa kufika shule kwa wakati na kuchelewa kuanza masomo, wanafunzi wanaanza kusoma tangu siku ya kwanza wanapofungua shule,” alimalizia.
TSN

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet