pmbet

Ukikutana na Hispania linda lango lako Mechi 40 bila kupoteza.

Joyce Shedrack

September 30, 2026
Share :

Timu ya Taifa ya Hispania imeandika historia mpya katika soka la kimataifa, baada ya kufikisha michezo 40 mfululizo bila kupoteza kufuatia ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Croatia katika Ligi ya Mataifa ya Ulaya.

Spain vs Croatia: Everything You Need To Know | beIN SPORTS

Ushindi huo uliifanya Hispania kuwa timu ya kwanza ya taifa ya wanaume kufikisha michezo 40 mfululizo bila kupoteza ikiwa ni mwendelezo wa kiwango cha juu chini ya kocha Luis de la Fuente.

 

Mfululizo huo ulianza baada ya kipigo cha mwisho dhidi ya Colombia Machi 2024.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet