pmbet

"ukinitaja tena nakufunga" - Mwakinyo

Sisti Herman

February 1, 2024
Share :

Bingwa wa WBO Afrika, Hassan Mwakinyo anataka heshima ameandika onyo kupitia mtandao wake wa kijamii kuhusu kutajwa kwenye masuala ya kibiashara bila kushirikishwa

 

"nikisha saini mkataba wa kutetea mkanda wangu ndoto zako zitakua zimeishia hapo na nikikusikia unataja tena jina langu nakufunga, Unapo mtaja champez unataja sura ya ngumi ya taifa kwa professional level pia unamtaja bingwa wa WBO Africa sasa huwezi ita mtu mwenye heshima zote hizo asaini mkataba kama unaita njiwa waje kula mtama au kama unatoka usingizini, hivi vitu vina protocol, binafsi sijawahi kusaini mkataba kwa kuitwa kama njiwa ongea vizuri na matajiri zako lakini nakupia likitiki hilo ndio pambano lako la mwisho kwenye ngumi". aliandika Mwakinyo

 

Chapisho hilo la Mwakinyo linakuja masaa kadhaa baada ya video ya Twaha Kiduku kusambaa mitandaoni akiomba pambano na Mwakinyo kufanyoka hata Tanga, nyumbani kwa kina Mwakinyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet