pmbet

Ukivuka miaka 40 huna gari, nyumba wala mke...kuna sehemu utakuwa umekosea kwenye maisha

Eric Buyanza

January 5, 2024
Share :

Akiwa leo anasherehekea mwaka wake wa 39 toka kuzaliwa, mtangazaji maarufu Mwijaku ameongea leo na wanahabari wa Pmtv na kuwaonyesha nyumba ya ndoto yake aliyoizindua rasmi leo.
 

Haya ni baadhi ya maneno ya Mwijaku aliyojitapa nayo leo...."Nakwambia mwandishi kabla hujafika miaka 40 kwa kijana yoyote hakikisha una gari, una mke, una nyumba ya ndoto yako"
 

"Ukivuka 40 hauna gari, hauna nyumba, hauna mke wa ndoto yako...kuna sehemu utakuwa umekosea kwenye maisha yako...chukua hiyo kutoka kwangu"
 

"Kijana ambaye una akili timamu, hakikisha kabla hujafikisha miaka 40 kuna vitu uwe umevifanikisha" 

 

Angalia video hapo chini;

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet