pmbet

Ukraine washambulia pantoni la Urusi na kuua mtu mmoja

Eric Buyanza

July 23, 2024
Share :


Mtu mmoja ameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine kwenye kivuko katika bandari ya Kavkaz nchini Urusi.

Itakumbukwa Ukraine ilishambulia eneo hilo hilo mwishoni mwa mwezi Mei, katika kituo cha mafuta karibu na bandari hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet