pmbet

Ukraine yadungua 'Droni' 17 kati ya 23 za Urusi

Eric Buyanza

July 24, 2024
Share :

Urusi imefanya mashambulizi kusini mwa Ukraine kwa kutumia ndege 23 zisizo na rubani (Droni) aina ya Shahed, ambapo vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kudungua 17 kati yake, amethibitisha Luteni Jenerali Mykola Oleshchuk, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Ukraine. 

Pia Urusi ilishambulia Mkoa Kharkiv ikitumia makombora ya Iskander-M na kombora na lingine lisilojulikana usiku wa kuamkia leo July 24. 

Nyingi kati ya ndege zisizo na rubani za Shahed zilidunguliwa katika eneo la Odessa, Jeshi la Anga la Ukraine limesema. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet