pmbet

Ukraine yadungua ndege 17 kati ya 18 zilizotumwa na Urusi

Eric Buyanza

June 6, 2024
Share :

Kikosi cha anga cha Ukraine usiku wa kuamkia leo kimedungua ndege zisizo na rubani 17 kati ya 18 aina ya Shahed katika shambulio lililofanywa na Urusi katika maeneo manne tufauti nchini humo.

Shambulio hilo la Urusi lilisababisha moto katika kituo cha miundombinu katika mkoa wa Khmelnytskyi, wakati ndege moja isiyo na rubani ilipodunguliwa, gavana wa eneo hilo alisema. 
BBC

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet