pmbet

"Umekuja kutawala pande zote za tasnia", Rihanna amwambia Ayra Starr

Eric Buyanza

May 31, 2024
Share :

Staa wa muziki wa RnB duniani, Rihanna anaamini mwanamuziki wa Nigeria, Ayra Starr ana kile kinachohitajika kutawala pande zote za kiume na za kike kwenye tasnia ya muziki duniani.

Kwa mujibu wa Rihanna, sauti ya Ayra inawavutia wanaume kwa wanawake, na hana shaka kwamba binti huyo wa kinigeria mwenye umri wa miaka 21 atautawala ulimwengu wa muziki kutokana na sauti yake ya kipekee.

Ayra Starr alifichua mazungumzo yake aliyoyafanya na Rihanna walipokutana kwenye tukio la Authentic Woman nchini Uingereza wakati alipofanyiwa mahojiano na Billboard hivi karibuni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet