UN yaipongeza Tanzania kuchangia askari 1500 kwenye vikosi vyake
Sisti Herman
February 6, 2026
Share :

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Umoja wa Mataifa wamepongeza Tanzania kuchangia zaidi ya askari 1500 kwenye vikosi vya Ulinzi na Usalama duniani
Hili hapa andiko hilo la pongezi:
#Tanzania inachangia zaidi ya maofisa 1,500 wa kijeshi na polisi kwa misheni tano za kulinda amani duniani kote.
Katika hatari kubwa ya kibinafsi na chini ya hali mbaya, wanatumikia #KutumikiaAmani kusaidia wengine.
Tunawashukuru kwa huduma na kujitolea kwao.





