Unajua wapi Kalapina aliitoa Style hii?
Eric Buyanza
January 2, 2024
Share :
Mtindo maarufu wa msanii wa Hiphop kutoka kikosi cha mizinga, Kalama Masoud a.k.a Kalapina a.k.a Nabii Koko wa kufunika jicho moja ilikuwa ni kwa lengo la kujitofautisha na wasanii wengine na kujitengenezea 'Brand' yenye utofauti.
Kalapina ambaye pia ni mwanaharakati wa kupambana na madawa ya kulevya, mtindo huo aliuiga kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa kijeshi wa Israel, Moshe Dayan aliyezaliwa May 20, 1915 na kufariki October 16, 1981.