Unakata tamaa kizembe? Soma hii inakuhusu...!
Sisti Herman
February 12, 2024
Share :
Hii hapa safari ya matumaini ya kustaajabisha ya mshambuliaji wa timu ya Taifa Ivory Coast Sebastian Haller ndani ya miaka miwili;
- Julai 2022, Sébastien Haller alipatikana na saratani ya tezi dume na kuanza matibabu.
- Februari 2023, Haller alishinda saratani ya tezi dume kisha akarejea kwenye soka katika klabu ya Borussia Dortmund.
- Februari 2024, Haller alifunga bao ushindi wa Ivory Coast katika nusu fainali na kisha fainali ya AFCON!
Unaanzaje kukata tamaa wewe?