Unatoa wapi ujasiri wa kuhoji mwanaume anapotoka?- Eliza
Eric Buyanza
December 16, 2023
Share :
Mhubiri mmoja wa kanisa la sabato nchini Kenya anayefamika kwa jina la Elizabeth Mokoro, amewashangaa wanawake wanaowauliza wanaume wao mahali wanapotoka pale wanapochelewa kurudi nyumbani.
Elizabeth anasema "Hupaswi kumuuliza mwanaume wako unatoka wapi? hilo swali unapaswa kumuuliza kaka yako au mwanao lakini sio mume wako. Unatoa wapi huo ujasiri?