pmbet

Unaumia ukiwa wapi ? Aziz Ki aongeza miwili kusalia Yanga.

Joyce Shedrack

July 10, 2024
Share :

Kiungo wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki ataendelea kusalia ndani ya timu hiyo baada ya kuongeza kandarasi ya miaka miwili kusalia mitaa ya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Nyota huyo ambaye ni mfungaji bora wa msimu uliopita ametangaza kusalia na sasa ataungana na Clatous Chama, Pacome Zouzoua kuboresha eneo la kiungo la klabu hiyo.

Aziz Ki amepiga chini ofa nyingi kutoka vilabu vikubwa barani Afrika kama Mamelodi Sundowns, Al ahly na C.R.Belouzdad ambazo zote zilitajwa kuonyesha nia ya kuhitaji huduma ya kiungo huyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet