pmbet

"United, timu ndiyo tatizo siyo wachezaji" Gullit

Sisti Herman

August 28, 2025
Share :

 

Gwiji wa zamani wa Uholanzi na Chelsea Ruud Gullit amesema tatizo la Manchester United ni mfumo mzima wa timu hiyo na siyo wachezaji.

"Kila mtu anayeondoka Manchester United ghafla anacheza vyema katika klabu yake mpya. Scott McTominay huko Napoli, Marcus Rashford huko Aston Villa, na Antony huko Real Betis"

"Manchester United ndio tatizo, 100%"

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet