pmbet

Urusi yadhibiti kijiji cha 'Ocheretyne' nchini Ukraine

Eric Buyanza

May 6, 2024
Share :

Jeshi la Urusi limedai kuchukua udhibiti kamili wa kijiji cha 'Ocheretyne' kilichopo mashariki mwa Ukraine. 

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema kukamatwa kwa eneo hilo kunaongeza nafasi ya vikosi kusonga mbele kwenye uwanja wa mapambano.

Jeshi la Ukraine lilikwisharipoti hapo kabla kuhusu kuingia kwa wanajeshi wa Urusi kwenye kijiji hicho lakini halikutoa taarifa rasmi.

Moja wapo ya malengo ya Moscow ni kuukamata mkoa wote wa Donetsk ambao ilikwishaunyakua kwa mabavu lakini ilishindwa kuudhibiti.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet