pmbet

Urusi yatengeneza program ya AI kutambua seli za Saratani.

Joyce Shedrack

August 4, 2026
Share :

Wanasayansi kutoka Urusi wameunda programu mpya inayotumia Akili Bandia (AI) na teknolojia ya Neural Networks kwa uwezo wa kutambua aina mbalimbali za seli za binadamu na kutofautisha seli zenye saratani na zile zenye afya.

AI model predicts B cell response to advance personalized cancer vaccines -  DongA Science

Watafiti wanaamini ubunifu huu unaweza kuboresha utambuzi wa magonjwa mapema na kusaidia kutengeneza matibabu sahihi zaidi na yenye ufanisi mkubwa kwa wagonjwa.

Iwapo teknolojia hii itaendelea kuthibitisha mafanikio yake, inaweza kuwa hatua muhimu katika mapambano dhidi ya saratani na magonjwa mengine duniani.

Je, unaamini AI itabadilisha kwa kiwango kikubwa sekta ya afya katika miaka ijayo?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet