Urusi yathibitisha Balozi wake nchini Marekani kufariki ghafla
Sisti Herman
November 12, 2026
Share :

Balozi wa Urusi nchini Marekani, Alexander Darchiev, amefariki dunia ghafla akiwa na umri wa miaka 66.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imethibitisha kifo chake wakati ambapo mataifa hayo yalikuwa kwenye mazungumzo nyeti ya kidiplomasia kuhusu mgogoro wa Ukraine.





