pmbet

Ushindi dhidi ya Yanga ni zawadi kwa mashabiki - Shiboub

Sisti Herman

January 8, 2024
Share :

Kiungo wa APR ya Rwanda, Sharaf Shiboub ambaye amefunga bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Yanga katika mechi ya robo fainali Mapinduzi Cup amesema siri ya ushindi wao ni kufuata maelekezo ya kocha huku akikiri Yanga ni timu kubwa.

Shiboub pia ametuma ushindi huo walioupata kwa mashabiki wa APR ambapo timu hiyo itacheza dhidi ya Mlandege FC hatua ya nusu fainali.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet