pmbet

"Usimuoneshe utupu wako mwanamke ambaye hujamuoa"

Eric Buyanza

January 17, 2024
Share :

Tajiri wa biashara ya muziki, Producer na muibuaji wa vipaji maarufu nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Soso Soberekon (White Lion), ameibuka mtandaoni kuongea kwa sauti kubwa na wanaume jambo ambalo limeleta maoni ya kila aina wengine wakimpinga na wengine wakimuona yuko sahihi.
 

Soso ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwaelimisha wanaume nini cha kufanya na miili yao kwa kuacha tabia ya kuonyesha miili yao isiyo na nguo kwa wanawake ambao hawajawaoa.
 

Aliandika:

"Ni mwanaume asiye na aibu pekee ndiye atakayemruhusu mwanamke ambaye si mkewe kuona uchi wake"

Maneno haya ya Soso yamezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii wengine wakimponda huku wengine wakimuunga mkono.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet