pmbet

"Usioe mwanamke asiye na hela, asiyeweza kukupa hata posho ya mwezi"

Eric Buyanza

December 7, 2023
Share :

Mwanahabari maarufu nchini Nigeria Ifedayo Olarinde, maarufu kama 'Daddy Freeze' amewashauri wanaume waache kuoa wanawake wasio na hela, yaani usioe mwanamke ambaye hawezi hata kukupa posho ya mwezi (Allowance).
 

"Msioe wanawake wenye njaa, inatosha, kabla hujaoa mwanamke muulize kitu gani unaweza kufanya kwangu? Unaweza kunipa kiasi gani cha fedha kama posho ya mwezi" alisisitiza Daddy Freeze.
 

"Mwanamke yeyote asiyeweza kukupa posho ya mwezi hafai kwako, usioe binti asiye na uwezo wa kuingiza kipato hata kinachofikia nusu ya chako au anayepambana kupato kinachokaribiana na chako. sio sahihi" anamalizia kusisitiza Daddy Freeze.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet