pmbet

Usyk ataja fight zake 3 za mwisho

Sisti Herman

March 27, 2026
Share :

 

Oleksandr Usyk ametaja majina ya wapinzani anaotaka kuzichapa nao katika mapambano matatu ya mwisho kabla ya kustaafu masumbwi.

 

Usyk amethibitisha kuwa amebakiza mapambano matatu pekee mwilini mwake, dhidi ya;

 

1.Rico Verhoeven

2. Wardley/Dubois

3. Tyson Fury

 

Anataka kustaafu mchezo huo akiwa amepambana na majina makubwa yaliyobaki ili kuhitimisha historia yake kwa kishindo.

 

Ingawa orodha kamili inategemea majadiliano, majina kama Tyson Fury (katika pambano la marudiano) na Anthony Joshua yamekuwa yakitajwa sana kwenye mipango yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet