pmbet

Utafiti; Magereza yazidiwa idadi ya Wafungwa Tanzania

Sisti Herman

May 3, 2024
Share :

Uchambuzi wa wakaguzi kutoka magereza yaliyotembelewa mwaka 2023 uliochapishwa na (TRT Afrika Swahili) umeonyesha jinsi baadhi ya Magereza nchini Tanzania yalivyozidiwa uwezo kwa kuwa na idadi kubwa ya wafungwa. Magereza yenye idadi kubwa ya wafungwa;

 

 1. Ruanda, uwezo wa gereza ni wafungwa 400, idadi ya wafungwa waliopo ni 972. 

2. Mkuzada, Uwezo wa gereza ni wafungwa 70, idadi ya wafungwa waliopo ni 165. 

3. Kongwa, uwezo wa gereza ni wafungwa 120, idadi ya wafungwa waliopo ni 158. 

4. Mahenge, uwezo wa gereza ni wafungwa 50, idadi ya wafungwa waliopo ni 62. 

5. Ukonga, uwezo wa gereza ni wafungwa 945, idadi ya wafungwa waliopo ni 1157. 

6. Idete, uwezo wa gereza ni wafungwa 200, idadi ya wafungwa waliopo ni 231. 

7. Magu, uwezo wa gereza ni wafungwa 134, idadi ya wafungwa waliopo ni 140.

Picha juu ni moja kati ya maonyesho ya askari magereza namna wanavyotimiza majukumu yao dhidi ya wafungwa Wakorofi kwenye moja kati ya sikuku za kitaifa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet