pmbet

UTAFITI: Marefa wafupi wanaongoza kwa kutoa kadi uwanjani

Eric Buyanza

February 14, 2024
Share :

Utafiti ulioongozwa na Dk Nick Neave kutoka Chuo Kikuu cha Northumbria cha nchini Uingereza, umebaini kuwa marefa/waamuzi wa kiume wafupi ndio wanaoongoza kwa kutoa kadi uwanjani.
 

Wanasayansi hao walichambua data za waamuzi wa kiume 61 kutoka Ligi kuu ya Uingereza na League 1 ya Ufaransa na wakafikia hitimisho kwamba waamuzi wenye kimo kifupi wanaongoza kwa kutoa kadi za njano ukilinganisha wale warefu.
 

Wakati kwenye kwenye Ligi za madaraja ya chini marefa hao wafupi wanaongoza kwa kutoa kadi nyekundu na penati.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet