Utajiri wa P Diddy wakadiriwa kufikia $ Bilioni 1
Eric Buyanza
March 27, 2024
Share :
Si wiki nzuri kwa mwanamuziki na mfanyabiashara Sean Diddy Combs, kwani huenda taswira yake ikaandikwa kwa wino mwekundu katika siku za karibuni baada ya nyumba zake kuvamiwa na maafisa usalama hapo jana akituhumiwa kwa unyanyasaji wa kingono na biashara haramu.
Ukiachilia sakasaka hilo P Diddy ni mojawapo ya majina makubwa yanayotambulika zaidi katika ulimwengu wa hip-hop na rap duniani.
Kutokana na mafanikio yake katika ulimwengu wa muziki, P Diddy utajiri wake unakadiriwa kufikia dola milioni 800.