pmbet

Utawala wa Iran hauwezi kuangushwa kwa shambulio la anga

Eric Buyanza

February 10, 2026
Share :

Akiongea na kituo cha CNN Turkey hivi karibuni kuhusu mustakabali wa taifa la Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan amesema kwa maoni yake haoni kama serikali ya Iran itaweza kuangushwa kwa shambulio la anga, bali mfumo utadhoofishwa na huenda usiwe tena na uwezo wa kutekeleza majukumu yake… na udhaifu huu utailazimisha serikali kubadili mwelekeo wake.
 

Fidan pia ameonyesha matumaini kuhusu mazungumzo kati ya Iran na Marekani, na akasisitiza: “Eneo hili haliwezi kuvumilia vita vingine.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet