UTEUZI: Daniel Chongolo ateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe
Eric Buyanza
March 9, 2024
Share :
UTEUZI:
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, leo tarehe 9/3/2024 ameteuliwa na Rais Samia Sululu Hassan, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
Bwana Chongolo anachukua nafasi ya Dkt. Francis K. Michael.