Uvaaji wa Barakoa wazuiliwa Somalia kisa Ugaidi
Sisti Herman
February 15, 2024
Share :
Somalia imepiga marufuku uvaaji wa barakoa na kofia katika mji mkuu Mogadishu, kutokana na kuhusishwa na vitendo vya kihalifu na kuhatarisha usalama.
Somalia imekuwa ikikabiliwa na changamoto za kiusalama kwa miaka mingi, huku vitisho vikubwa vikitoka kwa kundi la wanamgambo wa Al-Shabab.