pmbet

Vatcan yaonesha kwa mara ya kwanza mwili wa Papa Francis.

Joyce Shedrack

April 22, 2025
Share :

Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatican yametoa picha na video za mwili wa Papa Francisko ukiwa umevalishwa vazi jekundu na rozali mkononi.

Picha hizo zimepigwa katika kanisa la Casa Santa Marta ambalo liko katika yaliyokuwa makazi ya marehemu Papa Francis alifariki Jumatatu April 21 akiwa na umri wa miaka 88.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet