pmbet

(VIDEO) Huwezi kuamini, Khadija Kopa amkataa Diamond bila woga

Eric Buyanza

December 11, 2023
Share :

Malkia na mkongwe wa muziki wa Taarab nchini Tanzania, Khadija Kopa, amesema hajui lolote kuhusu mahusiano ya kimapenzi ya mwanae Zuchu.
 

Akijibu swali la wanahabari ya kuhusu mahusiano ya Zuchu na Diamond, alisema 
"Mimi sijui lolote hata hayo mahusiano siyajui, mimi najua Zuchu ni mwanangu....mahusiano yake nitayajua siku akija kutolewa mahari....hayo mahusiano atayajua mwenyewe mi sijui chochote".
 

Msikilize hapo chini

 


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet