(VIDEO) Nandy ajibu shutuma za kucopy wimbo wa Zuchu
Eric Buyanza
December 9, 2023
Share :
Siku chache baada ya Nandy na Lulu Diva kurelease ngoma yao mpya iitwayo 'Mtaalam' huku Baba Levo akisema wameiga ngoma hiyo kutoka kwenye track ya Zuchu 'Honey', Nandy amesita kuliongelea jambo hilo.
Akijibu swali la mwandishi kuhusu kucopy wimbo huo, Nandy amekwepa na kusema swali hilo litajibiwa na mwanasheria wake.
Msikilize hapa Nandy akielezea jambo hilo.