(VIDEO) Nauli mpya ya Daladala yawadatisha abiria
Eric Buyanza
December 9, 2023
Share :
Baada ya nauli mpya ya Daladala kuanza kutumika rasmi jana tarehe 8 December, kumekuwa na manung'uniko kila kona abiria wakitoa maoni kuhusu kupanda kwa nauli hizo.
PMTV ilitembelea vituo vya Daladala kuchukua maoni ya abiria. Fuatilia video hapo chini.