(VIDEO) Ni dhambi kumfananisha Ayubu na Diara – Kay Mziwanda
Eric Buyanza
December 21, 2023
Share :
Shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba Kay Mziwanda, anasema ni dhambi kubwa kumfananisha golikipa wa Simba Ayoub Lakred na golikipa wa Yanga, Diara, huku akisisitiza kama kuna mtu aliyemsema vibaya golikipa huyo basi sasa ni wakati sahihi wa kumuomba radhi.
Bonyeza video hapo chini kumsikia Kay Mziwanda kwa maneno yake mwenyewe.