(VIDEO) Shabiki wa Yanga aukubali mziki wa Simba, asema ubingwa tujipange
Eric Buyanza
December 16, 2023
Share :
Baada ya mechi ya jana dhidi ya Kagera Sugar, ambapo Simba iliibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 3-0. Baadhi ya mashabiki wa Yanga wameongelea kiwango cha Simba walichokionesha kwenye mchezo wa jana.
Na huyu ndie mmoja wao msikilize kwenye video hapo chini...anakwambia Yanga
ubingwa tujipange Benchikah ni kocha..
#SautiZaMashabiki