(VIDEO) Sikiliza #SautiZaMashabiki wa Yanga wakifunguka kuhusu uwezo wa timu yao
Eric Buyanza
December 9, 2023
Share :
(VIDEO) Sikiliza #SautiZaMashabiki wa Yanga wakifunguka kuhusu uwezo wa timu yao baada ya timu hiyo kupata matokeo ya sare usiku wa jana na kubakisha michezo mitatu mbele yao. Mashabiki kila kona ya Dar es salaam wamefunguka ya moyoni ya jinsi walivyoiona timu yao. Fuatilia video hapo chini