pmbet

Vigogo wa nchi 3 wakutana kusaka amani Congo

Sisti Herman

February 18, 2024
Share :

Rais Félix Tshisekedi na wenzake Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini na Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye wa Burundi, wamefanya mkutano wa kujadiliana namna ya kurejesha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Marais hao wamejadiliana mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuweka nguvu kwa pamoja ili kupambana na waasi wa M23 hasa mkoa wa Kivu Kaskazini.

Nchi za Burundi na Afrika ya Kusini ni miongoni mwa nchi zenye askari jeshi wengi wanaounda ujumbe wa SADC (SAMIDRC) waliotumwa katika kurudisha amani nchini humo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet