Vijana Marekani wanatamani mgombea tofauti na hawa
Eric Buyanza
May 16, 2024
Share :
Idadi kubwa ya wapiga kura vijana katika uchaguzi wa Rais nchini Marekani wanasema wanatamani wangekuwa na mtu mwingine na siyo Joe Biden au Donald Trump.
Ukusanyaji maoni wa Pew Research wiki iliyopita umebaini kwamba theluthi mbili ya wapiga kura ni chini ya umri wa miaka 30 na huenda wangewaondoa wagombea wote wawili kama wangepata fursa hiyo.
VOA