pmbet

Vijue vitega uchumi vya Mbwana Samatta

Eric Buyanza

March 26, 2024
Share :

Baba mzazi wa nyota huyo Mzee Ali Pazi Samatta, anasema Nahodha huyo wa Taifa Stars amekuwa na biashara nyingi ikiwamo Samatta Safari Tours kwa ajili ya usafirishaji wa watalii kwenda kutembelea mambo ya kitalii.
 

“Hajaishia hapo lakini aliniambia ana mipango ya kumiliki TV yake kwa ajili ya michezo tu, lakini hajaweka wazi juu ya atakapomaliza soka lake anahitaji kufanya nini." anasema Mzee Ali.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet