Viongozi wa TP Mazembe wajifunza kwa Yanga
Sisti Herman
May 14, 2024
Share :
Msafara wa Viongozi wa TP Mazembe ukiongozwa na CEO wao, Frederic Kitengie, wamefika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga na kupokelewa na Mtendaji Mkuu wetu, Andre Mtine kwaajili ya ziara rasmi.
Klabu ya Yanga kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wametaja ziara hiyo kuwa na dhima kuu ya TP MAZEMBE kujifunza kwa Yanga.