pmbet

Vita ya Azam na Yanga yapelekwa kwa Mkapa

Sisti Herman

March 12, 2024
Share :

Klabu ya Azam imethibitisha kuwa Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati yao na Yanga uliopangwa kuchezwa uwanja wa Azam Complex wikiendi ijayo sasa umehamishwa na kupangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

 

"Mchezo wetu ujao wa Ligi Kuu ya NBC, dhidi ya Yanga, sasa utafanyika Uwanja wa Mkapa badala ya ule wa Azam Complex uliopangwa hapo awali. Mchezo huo unatarajia kufanyika Jumapili hii, saa 1.00 usiku" - ilieleza taarifa ya Azam kupitia mitandao yake ya kijamii.

 

Azam itakuwa mwenyeji wa mchezo huo siku ya machi 27 mishale ya saa 1 usiku.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet