pmbet

Vita ya kuamua mbabe wa ligi mechi nane muda mmoja.

Joyce Shedrack

June 24, 2026
Share :

Ligi kuu soka Tanzania bara inarejea leo huku timu zote zikitarajia kushuka dimbani na mechi hizo zote nane za leo, zitaanza katika muda mmoja ambapo zitachezwa kuanzia saa 10:00 jioni huku mechi kubwa ikiwa ni Dar es Salaam derby kati ya Yanga na Azam FC inayopigwa Visiwani Zanzibar.

Timu hizo zinakutana baada ya siku tatu tu tangu zilipokutana katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ambao Azam iliibuka na ushindi wa mabao 3-2.

Wananchi wanahitaji alama tatu leo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa ligi kwani itafikisha alama 69 na kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo.

 

Watani zao Simba waliopo nafasi ya pili nao wanahitaji ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar ili kuendelea kuongeza presha kwa kinara wa ligi na kutumia nafasi ya kuwa kinara endapo mtani atadondosha alama 3.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet