pmbet

Vita ya ligi kuu soka Tanzania bara kumalizika leo.

Joyce Shedrack

June 30, 2026
Share :

Msimu wa ligi kuu soka Tanzania bara unatarajia kutamatika siku ya leo ambapo bingwa atajulikana baada ya dakika 90 za mwisho kwa timu za za juu za msimamo wa ligi ambazo ni Simba na Yanga.

Wananchi wanaongoza msimamo wakiwa na alama 72 baada ya michezo 29 watashuka dimbani ugenini dhidi ya JKT Tanzania huku Mnyama
mwenye alama 70 baada ya michezo 29, watakuwa ugenini pia dhidi ya KMC katika uwanja wa KMC Complex.

 

Yanga wanahitaji ushindi ili kutetea taji lao wakati Simba ikitafuta alama tatu huku ikimuombea mabaya mtani wake akutane na kipigo ili waweze kutwaa taji hilo.

 

Matumaini makubwa yapo kwa Wananchi ambao mpaka sasa wapo kileleni mwa msimamo.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet