Vita ya ufungaji wa magoli Ligi Kuu
Sisti Herman
February 19, 2026
Share :

Mpaka kufikia sasa kwenye ligi kuu Tanzania bara, hawa ndiyo vinara wa ufungaji wa magoli;
1. Fabrice Ngoy, Namungo - 7
2. Salehe Karabaka, JKT Tanzania - 6
3. Paul Peter, JKT Tanzania - 5
4. William Edger, Dodoma Jiji - 5
5. Prince Dube, Yanga - 4
Je mshambuliaji wa timu yako yupo nafasi ya ngapi?





