Vituko vya wasanii vina nguvu kuliko muziki.
Joyce Shedrack
April 22, 2025
Share :
Mwanamuziki Ibraah kutoka Kondegang ameonyesha masikitiko yake kwa namna mashabiki wanavyouchukulia muziki kwa hivi sasa, kwa mtazamo wake akiona kuwa Muziki kwa sasaivi watu hawaupi heshima yake ila wakiangalia zaidi vituko vya wasanii.
Kupitia ukurasa wake wa Instagrama msanii huyo ameandika "Ivi ni kwamba nina wivu au ni kweli nyimbo zinazotoka ni mbaya, music is life guys nimegundua kiwanda cha muziki wetu kinahitaji upcoming wa kutosha mana dah! Muziki hauna tena nguvu kuliko vituko vya wasanii dah!! muziki"
Kwa mtazamo wako, Ni kweli muziki kwa hivi sasa hauna nguvu katika kuwasapoti wanamuziki kuliko matukio yanaoendeelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wasanii na watu maarufu??