VIWANGO VYA UEFA KWA VILABU 2023: Man City, Real Madrid juuu, Man Utd, Chelsea zikishuka
Eric Buyanza
December 26, 2023
Share :
Manchester City kwa sasa inaongoza katika viwango vya UEFA kuelekea mwaka 2024.
Kikosi cha Pep Guardiola kiko mbele ya Real Madrid na Bayern Munich, ambazo ziko kwenye tatu bora.
Hii ni list ya timu hizo:
1 Man City (ENG) 141.000
2 (=) Bayern (GER) 136.000
3 (+3) Real Madrid (ESP) 123.000
4 (+1) Paris Saint-Germain (FRA) 108.00
5 (-2) Liverpool (ENG) 107.00
6 Inter (ITA) 99.000
7 Leipzig (GER) 96.000
8 (-4) Chelsea (ENG) 96.000
9 (-1) Man United (ENG) 92.000
10 Roma (ITA) 91.000
11 Dortmund (GER) 85.000
12 Barcelona (ESP) 85.000
13 Atletico Madrid (ESP) 84.000
14 Sevilla (ESP) 84.000
15 Villarreal (ESP) 80.000
16 Juventus (ITA) 80.000
17 Napoli (ITA) 79.000
18 Leverkusen (GER) 78.000
19 Porto (POR) 75.000
20 Benfica (POR) 72.000
21 Arsenal (ENG) 68.000