pmbet

Vodacom yatimua wafanyakazi 631 Afrika kusini kisa utapeli

Sisti Herman

June 21, 2024
Share :

Kampuni ya huduma za Simu za mkononi ya Vodacom imewafuta kazi wafanyakazi na mawakala 631 kutokana na Ripoti ya utendaji ya mwaka (2023/24) kuonesha ongezeko la vitendo vya udanganyifu wa kimtandao katika kampuni hiyo

Kwa mujibu wa News 24, Ripoti ilionesha Matukio 8,652 ya udanganyifu na makosa mengine ya kimtandao. Matukio 6,872 kati ya hayo ni kutoka nje ya Kampuni na 1,780 ya Ndani ya Kampuni ambapo watuhumiwa 15 wamekatwa

“Kesi hizi ziliripotiwa na kutambuliwa kupitia njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Ripoti zilizopokelewa kutoka kwa Wateja, Watoa Huduma, Ripoti za Mtandaoni, Rufaa za Kibiashara, Mfumo wa usimamizi wa Udanganyifu na Watoa Taarifa wa Nje.” - Ilieleza sehemu ya ripoti hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet